ShengGPT – Tuskume Hii Game
Hii ndio base ya ShengGPT – bot ya mtaa, imebonda AI, imeiva ka ngwashe ya mperesa.
🎯 Venye Tunakam
- 🛠️ API ya Sheng – ya kusoma tu, no kujifanya uko na DB
- 🤖 Chatbot ya Sheng – inakubonga na iko rada yako
- 📚 Kamusi ya Sheng – na story ya word, era, origin
- 🧠 Dataset za Sheng – for AI, content, na ma app
🚨 Sheng Si Jokes
Sheng ni lingo ya mtaa, ni freedom, ni brain gym. Sio mambo ya kuplayplay. Tunaibeba serious juu ni ya wasee wetu.
📡 Status ya Saa Hii
- 🧱 Foundation tumeweka
- 💻 Code bado tunaipika
- 📊 Dataset tunachimba
- 🎤 Wasee wa mtaa – karibu mjiengage
📬 Chapia Tuskume
Email: shengai@yourkampu.org
🫡 ShengGPT – si ya kuchezea, ni ya kuirada.